WADHAMINI
Saturday, May 22, 2010
Dr Bonny JP
Dr Bonny JP on duty i was very glady to find this photo in face book.he is my young brother comes third after myself in family of 7 children is not easy i wonder how our parent they manage to take all of us to high education.when i c this guy i always realize aim too old now. as you know i left the country 16 years ago make me to stay away far from my family but atleat every December i fly over
Friday, May 21, 2010
Chumbagen Flat.Mchongo wa kuja Sauz 1993 ulianzia hapa,
From 1990 to 1992 Nilikuwa maskani yangu ipo hapa kwa ndugu yangu Kibula na Moses (RIP)will never forget you brother.Hapa ndio safari ya kuja south africa ilianzia hapa,nakumbuka enzi zile kila week end hatukosekani Limbachia na mkonge, Bila kusahau Twiga hotel.i wish to rewind the clock nasifahamu rafiki zangu wote wapo wapi manake miaka mingi na wale waliokuwa wapenzi wetu nadhani sasahivi ni Grandmothers,siwezi kuwataja majina sababu may be ni wake za watu sasahivi siunajua tena, muda si mrefu nitawaleteeni jinsi nilivoivuta sauz 1993 mpaka kufikia kuweka makao yangu cape town na sasa nipo na familia yangu.nitajitahidi kutafuta picha zetu wakati tupo flat niziweke hapa.baada ya kutoka collage maisha yangu ya kwanza ya kazi niliyaanzia hapa bila kusahau u lover boy pia nikikumbuka kitu fulani kuhusu love,nilipata ifect moja ambayo imeharibu kabisa maisha yangu,since then i never ever love someone for the very bad experienced niliyopata, kwasababu hii ndio imeniwezesha kuelewa maana ya counciling class,sababu nimewaabusy watufulani(wapenzi) waliofatilia mpaka nilipogundua mwenyewe japo ilikuwa too late lakini at list imepita.Tanga ilikuwa tamu sana enzi zile
Mgomo wa metro train
Tuesday, May 18, 2010
Thursday, May 13, 2010
My long Distance drive
Hapa ndo kwanza tumefika Harare kwa Denis peter Ngereza tukalala cku mbili wadada wa Zim lol wanasura za bibi zao.we have very long story over me and Denis he is my Cousin we went same primary schools and high school i left Tanzania with him in 1993 we endup stay in Swaziland for 1yr then we move Denis move to cape Town 1994 my self i move to Johannesburg. 1998 i decide to go further down to cape and himself 2001 he decide to go stay in Harare for biznes till now.
Mike mwenyewe in morogoro rd starting to move toward south in the tip of africa
Mike mwenyewe in morogoro rd starting to move toward south in the tip of africa
world cup cape town
na babu nae anasema CHEERZ anakusubirini tu mje Sauz
uwanja umekamilika na bustani nje na sehemu za kupumzikia nje na watu watakuwa wanapita under ground ktk crossing road sio kama zamani unapigana vikumbo na magari
mishe mishe za kumalizia hii bara bara ndo inaendelea wana week tatu tu zakumaliza hapa tayari kwa world cup iamsure they will make it

polisi wa Bongo
His first car
Wednesday, May 12, 2010
Wonder house
Saturday, May 8, 2010
Friday, May 7, 2010
Thursday, May 6, 2010
World Cup Fever
Hafungwi mtu hapa ktk world cup timu za africa inabidi waige mtindo huu wa defence
Hu ni uwanja wa mazoezi upo sehemu moja inaitwa Athlone hapa cape ndo base ya Wabongo wengi wanaishi huko manake hata wenyeji wa hapa ukisema mambo wanakujibu wabongo wakumwaga hapo
kwa wale ndugu zangu watakao kuja huku toka Bongo hii ndo menu ya mama ntilie wa cape town hakuna kitu cha maharage na ugali
sasa hivi hapa sauz kila office unapoingia unakutana na mipira imezagaa kila kona na bendera za nchi zinazokuja kucheza ,kuazia hospitali bank maofisi ya binafsi na mitaani wametengeneza mipira ya mawe na ticket ndo imekuwa deal nimebahatika kupata kutoka kwa hawa jamaa waliokuwa wajenzi wa viwanja wamepewa bure tiketi wanaziuza kimazabe kwahio ninauhakika wa kushudia kinyanga'nyiro hicho.cheiki hapo juu mastadium yatakayo fanyika michezo hio

Monday, May 3, 2010
Barabara za Bongo
mapenzi ya kweli
Saturday, May 1, 2010
Justine Tour
More family
mke wa Kigomboa (Stanley) naona siku za kuhesabu tu siku yeyote tutaitwa Baba ndo uzee huo madingi wa tulize Ball watuachie wenyewe
Subscribe to:
Posts (Atom)