Thursday, May 6, 2010

World Cup Fever

Hafungwi mtu hapa ktk world cup timu za africa inabidi waige mtindo huu wa defence
Hu ni uwanja wa mazoezi upo sehemu moja inaitwa Athlone hapa cape ndo base ya Wabongo wengi wanaishi huko manake hata wenyeji wa hapa ukisema mambo wanakujibu wabongo wakumwaga hapo
kwa wale ndugu zangu watakao kuja huku toka Bongo hii ndo menu ya mama ntilie wa cape town hakuna kitu cha maharage na ugali

sasa hivi hapa sauz kila office unapoingia unakutana na mipira imezagaa kila kona na bendera za nchi zinazokuja kucheza ,kuazia hospitali bank maofisi ya binafsi na mitaani wametengeneza mipira ya mawe na ticket ndo imekuwa deal nimebahatika kupata kutoka kwa hawa jamaa waliokuwa wajenzi wa viwanja wamepewa bure tiketi wanaziuza kimazabe kwahio ninauhakika wa kushudia kinyanga'nyiro hicho.cheiki hapo juu mastadium yatakayo fanyika michezo hio

No comments:

Post a Comment