jamaa kaona alambe lift ya bure baada ya kukosa usafiri metro train zote hazitembei kwa mgomo wa nyongeza za mishahara hapa cape town am hope haitafika wakati wa world cup.lakini jamaa hapa kesha pata bonge la noma lazima apewe fine manake mwele ndo kwaanza wanamfata kwa nyuma wanamchukulia timing.
No comments:
Post a Comment