na babu nae anasema CHEERZ anakusubirini tu mje Sauz
uwanja umekamilika na bustani nje na sehemu za kupumzikia nje na watu watakuwa wanapita under ground ktk crossing road sio kama zamani unapigana vikumbo na magari
mishe mishe za kumalizia hii bara bara ndo inaendelea wana week tatu tu zakumaliza hapa tayari kwa world cup iamsure they will make it
No comments:
Post a Comment