Friday, February 12, 2010

Baada ya kuendesha km 5500.finali nimefika home kwa mzee pima Amboni Tanga manake kudrive tokea Cape town mpaka Tanzania simchezo na nika drive back cape tena with my VW POLO CLASSIC

4 comments:

  1. nilidrive kwa siku tano one way

    ReplyDelete
  2. nilikuwa naomba mungu tu nilienda salama na nikarudi salama na sehemu nying nilikuwa naendesha usiku very late

    ReplyDelete