Thursday, April 8, 2010

kaburu wabaguzi


Hii ni picha ya makaburi mawili ya wabaguzi wa AWB waliuwawa mwaka 91 na nembo yao ya NAZI sijui hili babu lao watalizika vipi. hapa ni Ventersdop saouth africa makao makuu ya wabaguzi wachache waliobaki.

No comments:

Post a Comment