Thursday, February 11, 2010

Mr Martin jamaa alikuwa ma best friend miaka ya 80s till early 90 alikuwa mutu ya totoz sana enzi zile pale Chumbageni Flat mie mwenzake nimestaafu. juzi tu namuona ktk gazeti za udaku za kibongo Meneja wa twanga na miss tanga wakila raha zao

No comments:

Post a Comment