Ebwana katika pita pita yangu viwanja nilifika nchi moja far east jamaa akanipeleka ktk Bakery kununua mkate nikakutana na hii mikate iliotengenezwa kama viuongo va binadamu kama una roho ndogo huwezi kula mikate mitamu hii we acha tu wadau hapo sio Buchery ni bakery hahaha
No comments:
Post a Comment